Mchezaji wa Yanga akiwaacha hoi wachezaji wa MC ALGER ya Algeria katika mchezo wa awali wa michuano ya Kombe la Shirikisho Afrika kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dk. Harrison Mwakyembe akisalimiana na wachezaji wa Yanga wakati wa mechi hio.PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
Wachezaji wa MC Alger wakisalimiana na wachezaji wa Yanga
Kikosi cha MC Alger
Kikosi cha Yanga
Wapenzi wa Yanga wakishuhudia mechi hiyo

Comments