MTALAAM WA MASOKO KUTOKA UFILIPINO ATINGA OFISI ZA MKIKITA DAR

 Mtalaamu wa Masoko kutoka Ufilipino, Dk. Muni akizungumza  alipotinga katika ofisi za Mtandao wa Kijani Kibichi Tanzania (Mkikita) ambapo alieleza kwa ufupi ni jinsi gani ya kupata masoko ya uhakika ndani na nje ya nchi. Kutoka kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Mkikita, Adam Ngamange na Mwenyekiti wa Bodi ya Mtandao huo, Dk. Kissui S. Kissui pamoja Mdau Haji Mohamed kutoka Zanzibar.  PICHA ZOTE NA RICHARD MWAIKENDA
 Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Mkikita, Dk. Kissui akielezea jinsi Mtandao huo ulivyojiandaa kuwakomboa wananchi kwa kutumia kilimo cha kisasa na ufugaji wa kiisasa pamoja na kuwatafutia masoko ya uhakika..

 Baadhi ya wafanyakazi wa Mkikita wakisikiliza kwa makini wakati Mtaalamu wa Masoko, Dk. Muni akizungumza
 Haji Mohame akielezea jinsi Mtandao wa Wakulima na Ufugaji Zanzibar ulivyopiga hatua katika uzalishaji
 Haji akielezea jinsi Mtandao wao ulivyofanikiwa kupata meli kubwa ya uvuvi inayotarajia kutua Pemba tayari kuvua samaki katika Bahari Kuu
 Waziri wa Afya wa ZAMANI, Dk. Rashid Seif (kulia), akimsikiliza Dk. Kissui walipokuwa wakijadiliana jambo katika Ofisi za Mkikita Keko Darjani Dar es Salaam. Kushoto ni Adam Ngamange
 Wafanyakazi wa Mkikita na baadhi ya wanachama wakisikiliza kwa makini wakati wa mkutano huo

 Mdau wa Mkikita Suchekk Bangragh akielezea jinsi walivyojipanga jinsi ya kuboresha mazao na kuyapa thamani ili yauzike katika masoko ya nje na bdani ya nchi
 Dk. Muni na Haji wakifurahia jambo
 Dk. Rashid Seif akiagana na wanmkikita
 Adam Ngamange akielezea jinsi Mkikita ulivyojipanga kuhakikisha unawakomboa wananchi kwa kuwatafutia masoko ya ndani na nje
Meneja Uhusiano wa Mkikita akiuliza swali kwa Dk. Muni

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

CHAMA KIPYA CHA WALIMU WAMUOMBA RAIS SAMIA AINGILE KATI MAKATO YA WANACHAMA WAO

TOFAUTI YA WATU WA DAR NA WA MKOANI NI HUU

IBENGE: YANGA SC WATAFUZU HATUA YA ROBO FAINALI.

NOTI MPYA KUANZA KUSAMBAZWA MWEZI UJAO

HUYU NDIYE DKT. NCHIMBI, MAKAMU WA RAIS AJAE

CHAKUHAWATA WANENA MAKUBWA--