KIKOSI CHA CBE KIMEWASILI ZENJI KUVAANA NA YANGA

Kikosi cha Timu ya CBE, kutoka Nchini Ethiopia kimewasili Visiwani Zanzibar leo, kwa ajili Mchezo wao Wa Marejeano wa Ligi ya Mabingwa Barani Afrika dhidi ya Yanga.

Mchezo huo utafanyika katika Uwanja wa New Amaan Complex, Sept 21.2024, Saa Mbili Usiku.





 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

CPA MAKALLA 'KUUTEKA' MKOA WA ARUSHA

ASKOFU CHANDE AISHUKURU SERIKALI KULIPATIA USAJILI WA KUDUMU KANISA LA KARMELI

DEMU KAMA ANAFANYA KAZI HIZI KUWA MAKINI NAE.

JENGENI UWANJA WA MICHEZO WA KISASA NJOMBE-MWANYIKA

KAMATI YA UWT KUTOA MSAADA WA KISHERIA NCHINI

YANGA YAWASILI SALAMA ETHIOPIA