MWENEZI MAKALLA ATEMBELEA MPAKA WA TANZANIA NA KENYA 'NAMANGA ONE STOP' ARIDHISHWA KWA KAZI NZURI.





 *

"Nimeridhika na kazi mnayoifanya hapa 'Namanga One Stop Border Post' nimejionea foleni ya magari sio kubwa, pamoja na kazi nzuri mnayoifanya endeleeni kuhakikisha suala la foleni linaisha kabisa huku mkiondoa urasimu pamoja na yote muongeze Ushirikiano kwani kwa sasa tupo Vizuri Sisi na majirani zetu wa Afrika Mashariki".


"Jambo la Mwisho wapeni Ushirikiano hawa wafanyabiashara wa hapa mpakani wasikwame wanapotaka kufanya kazi na kizuri nimeambiwa kiwanda cha Nyama kinafanya kazi".


Katibu wa NEC-Itikadi Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa Ndugu Amos Makalla amesema hayo wakati alipotembelea mpaka wa Namanga leo wakati akiwa kwenye Ziarani Mkoani Arusha.


🗓️ 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

CPA MAKALLA 'KUUTEKA' MKOA WA ARUSHA

DEMU KAMA ANAFANYA KAZI HIZI KUWA MAKINI NAE.

ASKOFU CHANDE AISHUKURU SERIKALI KULIPATIA USAJILI WA KUDUMU KANISA LA KARMELI

"WANAUME WAPO GEREZANI, KABURINI"

JENGENI UWANJA WA MICHEZO WA KISASA NJOMBE-MWANYIKA

KAMATI YA UWT KUTOA MSAADA WA KISHERIA NCHINI