NYOMI YA WATU WASHUHUDIA RAIS SAMIA AKIZINDUA JENGO LA HALMASHAURI YA WILAYA YA MBINGA


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa wakifunua pazia jiwe la msingi ikiwa ni ishara ya uzinduzi wa  Jengo la Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga, leo tarehe 25 Septemba 2024, ikiwa ni sehemu ya mwendelezo wa ziara yake katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Ruvuma.
Rais Samia akikata utepe wakati wa uzinduzi wa jengo hilo.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na wananchi wa eneo la Kigonsera, Wilaya ya Mbinga, baada ya kuzindua jengo la Ofisi ya Halmashauri ya Wilaya ya Mbinga, leo tarehe 25 Septemba 2024, ikiwa ni sehemu ya mwendelezo wa ziara yake katika maeneo mbalimbali ya Mkoa wa Ruvuma.

Katibu wa NEC wa Uchumi na Fedha wa CCM, Dk. Frank Hawassi akiwa na viongozi mbalimbali wakati wa hafla hiyo. 


Muonekano wa jengo lililozinduliwa.


Wananchi wakiwa na furaha.

Sehemu ya umati wa wananchi ulihudhuria uzinduzi huo.




 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

CPA MAKALLA 'KUUTEKA' MKOA WA ARUSHA

𝗠𝗕𝗢𝗪𝗘 𝗔𝗦𝗜𝗧𝗜𝗦𝗛𝗔 𝗠𝗔𝗔𝗡𝗗𝗔𝗠𝗔𝗡𝗢 𝗬𝗔 𝗖𝗛𝗔𝗗𝗘𝗠𝗔 𝗬𝗔 𝗧𝗔𝗥𝗘𝗛𝗘 𝟮𝟯.

JENGENI UWANJA WA MICHEZO WA KISASA NJOMBE-MWANYIKA

DEMU KAMA ANAFANYA KAZI HIZI KUWA MAKINI NAE.

KAMATI YA UWT KUTOA MSAADA WA KISHERIA NCHINI