RAIS SAMIA ATEMBELEA MAKUMBUSHO YA VITA VYA MAJIMAJI SONGEA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt,Samia Suluhu Hassan akiweka silaha za jadi kwenye mnara wa mashujaa alipotembelea Makumbusho ya Vita ya Majimaji Songea Mkoani Ruvuma leo September 23,2024.
Akivishwa mgolole
Rais Samia akitoa heshima katika kaburi la waliokuwa mashujaa wa Vita vya Majimaji

Akiangalia vifaa mbalimbali vya asili.

Akipatiwa zawadi ya mgolole.









 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

CPA MAKALLA 'KUUTEKA' MKOA WA ARUSHA

𝗠𝗕𝗢𝗪𝗘 𝗔𝗦𝗜𝗧𝗜𝗦𝗛𝗔 𝗠𝗔𝗔𝗡𝗗𝗔𝗠𝗔𝗡𝗢 𝗬𝗔 𝗖𝗛𝗔𝗗𝗘𝗠𝗔 𝗬𝗔 𝗧𝗔𝗥𝗘𝗛𝗘 𝟮𝟯.

ASKOFU CHANDE AISHUKURU SERIKALI KULIPATIA USAJILI WA KUDUMU KANISA LA KARMELI

DEMU KAMA ANAFANYA KAZI HIZI KUWA MAKINI NAE.

JENGENI UWANJA WA MICHEZO WA KISASA NJOMBE-MWANYIKA