WANAFUNZI WA SHULE YA MSINGI WAMCHANGIA RAIS SAMIA SH. 1,800

-Awachangia Shilingi Milioni 100 ya Ujenzi wa Bwalo.


-Awapatia Ng'ombe 2, Mchele kilo 500 na mafuta.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt,Samia Suluhu Hassan amechangiwa kiasi Cha Shilingi 1,800 na wanafunzi wa Shule ya Msingi ya Mchepuo wa Kiingereza ya Chief Zulu ya Mkoani Ruvuma.

Rais Dkt, Samia amechangiwa kiasi hicho Cha fedha wakati wa hafla ya Uzinduzi wa Shule hiyo ambayo ujenzi wake umegharimu zaidi ya Shilingi Milioni 600 leo September 24,2024.

Rais Samia akichangiwa fedha na baadhi ya wanafunzi wa shule hiyo.



 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

CPA MAKALLA 'KUUTEKA' MKOA WA ARUSHA

𝗠𝗕𝗢𝗪𝗘 𝗔𝗦𝗜𝗧𝗜𝗦𝗛𝗔 𝗠𝗔𝗔𝗡𝗗𝗔𝗠𝗔𝗡𝗢 𝗬𝗔 𝗖𝗛𝗔𝗗𝗘𝗠𝗔 𝗬𝗔 𝗧𝗔𝗥𝗘𝗛𝗘 𝟮𝟯.

DEMU KAMA ANAFANYA KAZI HIZI KUWA MAKINI NAE.

JENGENI UWANJA WA MICHEZO WA KISASA NJOMBE-MWANYIKA

KAMATI YA UWT KUTOA MSAADA WA KISHERIA NCHINI