Mbunge wa Njombe Mjini, Deodatus Mwanyika ameishauri Serikali bungeni Dodoma Februari 5, 2025, kwamba haioni haja kuwawezesha Wazawa kuwa Mamilionea kwa kuwa na hisa katika katika migodi ya Liganga na Mchuchuma ambayo miezi mitatu ijayo itakuwa na mwekezaji?IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MSIMAMIZI MKUU
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV
0754264203
Comments