Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi wa Wakala wa Vipimo Tanzania (WMA) Prof. Eliza Mwakasungura aliyeambatana na wajumbe wa bodi hiyo, wameridhishwa na ukamilishaji wa ujenzi wa jengo jipya la WMA baada ya kulikagua Februari 7, 2025 eneo la Medeli jijini Dodoma.
Jengo hilo la ghorofa 5 linalojengwa na Kampuni ya Mohammed Builder kwa gharama ya sh. bil. 6.2 litakabidhiwa rasmi kwa WMA Februai 10, 2025.
Muonekano wa jengo hilo kwa ndani.
Wakikagua jengo hilo.
Wakiwa katika picha ya kumbukumbu.
Jengo linavyonekana kwa nje,
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MSIMAMIZI MKUU
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV
0754264203
Comments