Mke wa Rais Mstaafu, Jakaya Kikwete, Salma Kikwete ambaye pia ni Mbunge wa Mchinga, akielezea mbele ya Watawa kutoka Kilimanjaro kuhusu uchapakazi wa Mbunge wa Moshi Vijijini, Prof. Patrick Ndakidemi walipotembelea Bunge jijini Dodoma kwa mwaliko wao huyo.

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MSIMAMIZI MKUU
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV
0754264203
Comments