KUSHINDANA KUNYWA SODA KWANOGESHA CRDB BUNGE BONANZA

Baadhi ya wanamichezo wakishindana kunywa soda wakati wa CRDB Bunge Grand Bonanza liliofanyika kwenye viwanja vya ST. John Merlin Miyuji jijini Dodoma Juni 21, 2025.


Bonanza hilo lililofana lililodhaminiwa na Benki ya CRDB lilishirikisha michezo mbalimbali ikiwemo soka, kufukuza kuku, kupita katikati ya mapipa, kula wali na maharake,  mpira wa wavu, bao, drafti, soka, kurusha tufe, kuruka, kuvuta kamba na mingineyo.Washindi walizawadiwa vikombe na medali.


Mgeni rasmi alikuwa Rais Samia Suluhu Hassan ambaye hata hivyo aliwakilishwa kwa niaba yake na Waziri Mkuu Kassim Majaliwa.




Huyu ndiye mshindi wa kwanza'
Waziri Mkuu Majaliwa akihutubia.
Mkurugenzi Mtendaji wa CRDB, Abdulmajid Nsekela akitoaneno katika Bonanza hilo.
Naibu Spika wa Bunge, Azan Zungu akitoa shukrani.
Baadhi ya wabunge .


IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MSIMAMIZI MKUU
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV
0754264203


 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKUNDI YA VILABU VINAVYOSHIRIKI KOMBE LA DUNIA 2025.

MUONEKANO WA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA MSALATO

JINSI YA KUMTAWALA MWANAMKE HASA MKE (USIOE MKE WA MTU)

NMB YATOA MSAADA WA SH. MILI. 125 KUBORESHA MIUNDOMBINI KATIKA SHULE 15 ARUSHA

ASHUKURU MAFUNZO YA KILIMO JKT YAMEMLIPIA ADA CHUO KIKUU

DKT. NCHIMBI AKIFUATILIA BAJETI KUU YA SERIKALI