Mussa Luhamo akikabidhiwa fomu na Katibu wa CCM Wilaya ya Dodoma, Sophia Kibaba za kuomba ridhaa ya kuteuliwa kugombea Jimbo la Mtumba Dodoma Juni 30, 2025.
Akipata maelezo kuhusu ujazaji wa fomu hizo zinazotakiwa kurejeshwa kabla ya saa 10 jioni Julai 2, 2025.Hadi jioni ya leo waliochukua fomu katika majimbo mawili ya Dodoma Mjini na Mtumba wamefikia 32. 27 Dodoma Mjini na watano Mtumba.
MSIMAMIZI MKUU
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV
0754264203
Comments