HABARI NJEMA NA SULUHISHO KWA WAFANYABIASHA WA USAFIRISHAJI WA MIZIGO KWA NJIA YA NDEGE
🟢 KIKAO CHA WAFANYABIASHARA WA USAFIRISHAJI WA MIZIGO MAALUM NA WAMILIKI WA MAKAMPUNI 🟢
Je, wewe ni mfanyabiashara au mmiliki wa kampuni unayetuma mizigo kati ya Falme za Kiarabu (Dubai) na Tanzania?
Je, umekuwa ukihangaika kupata njia bora, ya uhakika, na nafuu ya kutuma mizigo yako kutoka Dubai kwenda Tanzania?
Je, umekuwa ukipitia changamoto za Mizigo yako ya Biashara kuachwa, Mizigo Kuchelewa na changamoto za MCO?
🟢 SASA TUMEKUFIKIA NA TUNA HABARI NJEMA JUU YAKO!!!🟢
KWENYE KIKAO HICHO MTAWEZA KUJUA HUDUMA MBALI MBALI ZINAZOTOLEWA ZIKIWEMO , RATIBA YA NDEGE, AINA YA MIZIGO NA BEI KWA KILO
KARIBUNI SANA KWENYE KIKAO HICHO AMBACHO KITATOA FURSA KWA WAFANYABIASHARA NA VILEVILE KUJENGA UHUSIANO
KITAKACHOFANYIKA:
SIKU YA JUMAPILI
TAREHE 22/06/2025
UKUMBI: LANDMARK HOTEL, BANIYAS DEIRA
MUDA: KUANZIA SAA 8 MCHANA
👉 Usikose fursa hii adhimu kuleta mapinduzi halisi kwenye biashara yako!
🔔 Endelea kufuatilia kurasa zetu kwa taarifa zaidi.
Kwa mawasiliano: +971504295744
Comments