MWENYEKITI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Chifu Hangaya, ambaye ni Mkuu wa Machifu Tanzania, akizungumza wakati wa Tamasha la Utamaduni la Bulabo, lililowahusisha watu mbalimbali wakiwemo Watemi wa Usukumani, Machifu kutoka maeneo mbalimbali nchini, viongozi na wananchi, lililofanyika katika Uwanja wa Bulabo, Wilaya ya Magu, mkoani Mwanza, leo Jumamosi tarehe 21 Juni 2025.
Mapema Mhe. Rais Dkt. Samia pia alipata fursa ya kutembelea Kituo cha Hifadhi na Makumbusho ya Utamaduni wa Wasukuma cha Bujora, kilichopo Kisesa, wilayani humo.
Comments