Afisa Mwandamizi wa Ofisi ya Rais, Dkt. Fabiani Madele amerejesha fomu ya kuomba ridhaa ya kuteuliwa kupeperusha bendera ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika kinyang'anyiro cha ubunge Jimbo la Dodoma Mjini.
Fomu hizo zilipokelewa na Katibu wa CCM Wilaya ya Dodoma Mjini, Sophia Kibaba Julai Mosi, 2025.
IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MSIMAMIZI MKUU
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV
0754264203
Comments