Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwamvua Mrindoko akizungumza na waandishi wa habari katika Idara ya Habari jijini Dodoma Julai 3, 2025, kuhusu mafanikio lukuki yaliyopatikana mkoani kwake wakati wa Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan.
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari MAELEZO, Zamaradi Kawawa akimkaribisha Mkuu wa Mkoa wa Katavi, Mwamvua Mrindoko kuzungumza na waandishi wa habari Waandishi wa habari wakiwa katika mkutano huo.
Comments