Mkuu wa Mkoa wa Kagera, Hajati Fatma Mwassa akianza kuelezea baadhi ya tabia za kabila la Wahaya alipokuwa akizungumza na vyombo vya habari katika Idara ya Habari MAELEZO jijini Dodoma Julai Mosi, 2025, kuhusu mafanikio lukuki yaliyofanywa mkoani humo na Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Samia Suluhu Hassan.
Mkurugenzi Msaidizi wa Idara ya Habari MAELEZO, Rodney Thadeus akihitimisha mkutano huo kwa kutoa pongezi kwa RC Mwassa na wananchi wa mkoa huo kufanikisha maendeleo mkoani Kagera.
MSIMAMIZI MKUU
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV
0754264203
Comments