Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu - Sera, Bunge na Uratibu William Lukuvi leo amechukua na kurejesha fomu ya kugombea ubunge wa Jimbo la Isimani kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika ofisi ya CCM Iringa Vijijini.
Lukuvi ambaye ni kada wa CCM wa muda mrefu ambaye amekitumikia chama na serikali kwa uaminifu mkubwa, anatetea nafasi yake ya Ubunge katika jimbo hilo ambayo alianza tangu mwaka 1995.
#UchaguziMkuu2025
Comments