"Furahieni ubingwa, Furahieni mafanikio lakini mmetufundisha maisha, mnajua namna ya kuipenda timu yenu, nimefanya kazi kwenye klabu kubwa lakini hawapo kama nyinyi, hii ndio klabu bora ninayoiona."
"Nimeona mlichokifanya leo kwenye parade, tunaweza kuona hivyo hadi miaka ishirini, ahsanteni sana wote."
- Miloud Hamdi, kocha mkuu wa klabu ya Yanga.
Comments