Mwenyekiti wa Umoja Wanawake wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania (UWT), Marry Chatanda akiwa na viongozi na makada wa Chama hicho aliposhiriki uzinduzi wa Kampeni za Mgombea urais, Dkt. Samia Suluhu Hassan, mgombea Mwenza, Dkt. Emmanuel Nchimbi, wabunge na madiwani.
Uzinduzi huo umefanyika kwenye viwanja vya Tanganyika Packers Kawe jijini Dar es Salaam Agosti 28, 2025.
Uchaguzi Mkuu utafanyika Oktoba 29,2025.
Comments