Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia
Suluhu Hassan akisaini kitabu kuashiria kurejesha kwa fomu ya kugombea nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu unaotarajiwa kufanyika 29 Oktoba, 2025 katika
Ofisi za Tume hiyo Njedengwa Jijini Dodoma tarehe 27 Agosti, 2025.
Mgombea wa Nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Taifa Ndugu Dkt. Samia Suluhu Hassan akisaini fomu ya maadili mara baada ya kurejesha kwa fomu ya kugombea nafasi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Comments