INEC YAMALIZA MCHAKATO WA UTEUZI WA WAGOMBEA, WABANDIKA MATANGAZO YA UTEUZI.

Mkurugenzi wa Uchaguzi, Ramadhan Kailima akiangalia matangazo ya uteuzi wa wagombea kiti cha rais na makamu wa rais kwa vyama vya siasa 17 vilivyochukua fomu za kuomba kugombea nafasi hizo. Matangazo hayo yamebandikwa nje ya kwenye ubao katika Makao Makuu ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi  (INEC) eneo la Njedengwa jijini Dodoma Agosti 27, 2025.
Mwenyekiti wa Tume, akiangalia matangazo hayo.

Watumishi wa Tume wakibandika matangazo hayo.
 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

WALIOKUWA WABUNGE WALIOPITIWA NA MKASI WA WAJUMBE

NENO KUNTU LA UMMY MWALIMU ALILOLITOA BAADA YA KUTEMWA KUGOMBEA UBUNGE

SPIKA MSTAAFU NDUGAI AFARIKI DUNIA

WAGOMBEA WALIOENGULIWA CCM LICHA YA KUONGOZA KURA ZA MAONI

MWENYE MASIKIO NA ASIKIE....