MATUKIO YA RAIS SAMIA SIKUKUU YA WAFANYAKAZI DUNIANI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa katika Matukio mbalimbali mkono kwa wakati wa Sherehe Za Maadhimisho ya Siku ya Wafanyakazi Duniani (Mei Mosi) yaliyofanyika katika Uwanja wa Halmashauri ya Mji wa Njombe Mkoani Njombe Leo Mei 01, 2026.










 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI