Mafundi wa TANESCO wakiutoa  Mwili wa mtu ambaye hakufahamika jina  juu ya nguzo za umeme ,mtu huyo alinaswa na umeme na kupoteza maisha wakati akijaribu kuiba transifoma jijini Mwanza
Mwili wa mtu ambaye hakufahamika jina ukiwa juu ya nguzo za umeme ,mtu huyo alinaswa na umeme na kupoteza maisha wakati akijaribu kuiba transifoma jijini Mwanza
Comments