MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA


 

1. Wahiraki, 

Hawa ni wanawake wa jamii ya Wahiraki wa napatikana kaskazini mwa Tanzania wamezagaa mikoa ya manyara ni weupe Wana Umbo zuri wanavutia kwa Macho.


2. Warangi, 

Hawa ni wanawake jamii ya Warangi ni wazuri nywele zao ni asili ya waraabu weupe sura nzuri wanapatikana kondoa.


3. Wanyiramba. 

Hawa ni warembo Sana sura matata wanapatikana mkoa wa singida kaskazini, usipokua makini utawafananisha na wanyaturu


4. Wamasai, 

kabila hili wanawake wazuri sio wengi Sana lakini ukikutana na sampuli Tatu au nne hivi utauza hata boxa kuongezea mahari wamezagaa Sana Arusha


5. Wahaya, 

hawa nao ni jamii ya Kanda ya ziwa maumbile Yao Kuna weupe miguu Yao ya bia shape matata wamejaa Sana bukoba.


6. Wanyaturu, 

Hawa wanafanana na Wanyiramba wanapatikana singida hasa ikungi na manyoni weupe wanavutia


7. Wapare, 

Hii ni jamii ya kabila la Wapare wanapatikana moshi wilaya ya same wako vizuri usicheze kabisa na hili kabila shape nzuri.


8 .Wamakonde, 

Hawa wanapatikana kusini mwa Tanzania ni kabila lenye wanawake wazuri Sana hususani maumbo Yao na shape za kuvutia.


9. Wasambaa, 

Kwanza weupe wanawake kitanga wamezagaa Sana tanga mjini


10. Wanyakyusa 

Moja kwa moja twende mbeya hawa wanawake wengi wao ni weusi lakini sura zao nzuri Sana black beauty.


TAJA KABILA LILOACHWA HAPA

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

Wasifu wa Kizza Besigye

Kizza Besigye ‘akamatwa’ tena Uganda

IRAN YAMTANGAZA AYATOLLAH MPYA

KILA MWANAMKE ANAPASWA KUFAHAMU HII...

MBUNGE DKT. MAJULE ATOA MSAADA WA VYAKULA, VYANDARUA 100 SHULE YA VIZIWI DODOMA

MAMBO MADOGO YANAYOVUTIA KWA MPENZI WAKO

DKT. MAJULE AKABIDHIWA CHETI CHA SHUKRANI UWT DODOMA KUFANIKISHA USHINDI WA CCM 2025

KWA NINI MAASKOFU JANA KWENYE IBADA YA KUMUAGA PENGO WALIVAA MAVAZI MEUPE WAKATI NI MSIBA..?

WANAOTAZAMWA KUMRITHI AYATOLLAH ALLY KHAMENEI.