IJUE HISTORIA YA PACOME ZOUZOUA

 Pacome Zouzoua alizaliwa tar 30 April 1997 nchini Ivory Coast ktk kitongoji cha Port.

Hadi sasa ana umri wa miaka 26, ni kiungo wa kati mwenye uwezo wa kipekee anayetumia zaidi mguu wa kulia ktk kazi yake ya mpira.
Alijiunga na Yanga tar 19 - 7 - 2023 majira ya saa 5 usiku akitokea ktk Club ya Asec Mimosas ya nchini Ivory Coast.
Ni mchezaji mkakamavu mwenye wepesi miguuni anapokuwana mpira, hujituma sana awapo uwanjani na inavyosemekana ni tofauti sana na awapo ktk mazoezi ya kujiandaa na mechi, lakini siku za mechi kila mara amekuwa moto zaidi nakuwa mkombozi kwa timu kwa kuinasua kimatokeo.
Nitaendelea kumpatia maua yake siku zote atakazokuwa ndani ya Young African Sports Club.
Pacome Zouzoua anaujuaaaaa.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

DKT. MAJULE AMFANYIA MAPOKEZI MAKUBWA BALOZI WA CHINA NCHINI

GSM ARIDHIA UJENZI WA UWANJA WA YANGA JANGWANI

UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA WA MSALATO DODOMA KUANZA KUTUMIKA SEPTEMBA 2026

WACHEZAJI YANGA WAGOMA KABISA KUFANYA MAZOEZI LEO, LWANDAMINA AIBUKA PEKE YAKE SHAMBA LA BIBI

BALOZI WA CHINA KUPITIA DKT. MAJULE APELEKA NEEMA KWA WANAWAKE DODOMA