KAMATI YA ULINZI NA USALAMA RUVUMA YAKAA KIKAO KUJADILI MAUAJI YALIYOIKUMBA SONGEA

Mwenyekiti wa Kamati ya Ulinzi ya Mkoa wa Ruvuma, ambaye pia ni Mkuu wa Mkoa huo, Said Mwambungu akizungumza katika mkutano na wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama baada ya kutokea mauaji wakati wa maandamano ya wananchi ya kupinga mauaji ya watu kwa imani za kishirikina.. Kulia ni Mkuu wa Wilaya ya Songea, Thomas Sabaya.
Wajumbe wa Kamati ya Ulinzi na Usalama ambao ni wenyeviti wa Serikali za mitaa, madiwani wakimsikiza Mwambungu kwenye mkutano huo wa dharula
Baadhi ya wajumbe wa Kamati hiyo, wakiwa katika mkutano wa kujadili mtafaruku huo. (PICHA NA MUHIDIN AMRI)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

WAZIRI BASHE APIGA MARUFUKU WASIOSOMEA KILIMO KUUZA PEMBEJEO

CHAMA KIPYA CHA WALIMU WAMUOMBA RAIS SAMIA AINGILE KATI MAKATO YA WANACHAMA WAO

NILIYOYABAINI KATIKA TRENI YA SGR DAR ,MORO HADI DODOMA … KADOGOSA REKEBISHENI MAMBO HAYA MTANIKUMBUKA

DK. KIKWETE AZINDUA KITUO CHA AFYA KIZIMKAZI, APONGEZA MAENDELEO ZANZIBAR

KOCHA WA MAMELODI ASIMAMISHWA KWA KUWAPIGA CHABO WACHEZAJI WAKE WA KIKE