TBL KUANZA KUTUMIA BARCODES KWENYE BIDHAA ZAKE

Mkurugenzi wa Uhusiano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Steve Kilindo (kushoto), akipokea mfano wa nembo ya mistari kwenye bidhaa ya Tanzania (BARCODES) kutoka kwa Mkurugenzi wa Uhamasishaji Bidhaa wa Wizara ya Viwanda na Biashara, Odilo Majengo Kaimu katika uzinduzi wa nembo hizo, Dar es Salaam. TBL ni moja ya kampuni kubwa nchini itakayoanza kutumia nembo hizo za Tanzania zinazotengenezwa na kampuni ya GSI Tanzania National Limited. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)

Mkurugenzi wa Uhusiano na Mawasiliano wa Kampuni ya Bia Tanzania (TBL), Steve Kilindo akizungumza wakati wa hafla hiyo
Kilindo (kushoto) akipongezwa na Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa Mfuko wa Sekta Binafsi (TPSF), Godfey Simbeye


Mgeni rasmi Majengo (katikati waliokaa) akiwa katika picha ya pamoja na watu mbalimbali walioalikwa katika hafla hiyo



Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

OWM–TAMISEMI YASHINDA TUZO YA MABADILIKO YA KIDIJITALI KATIKA TEHAMA AWARDS 2026

MATUKIO MBALIMBALI WAKATI WA KUAPISHWA NDEJEMBI KUWA MAKAMU WA RAIS

NI MAKOSA WANAFUNZI KUFIKA SHULE SAA 1:15 ASUBUHI

MAFAO YA MAKAMU WA RAIS ALIYEJIUZULU

URUSI, CHINA, IRANI NA KOREA KASKAZINI WAPANGA KUUNDA JESHI MOJA LA KUJIHAMI

NDEJEMBI KUTOKA MFANYAKAZI WA GSM HADI KUWA MAKAMU WA RAIS