ZIARA YA WAZIRI MKUU PINDA WILAYANI MASWA

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu wakicheza ngoma ya Watemi wa Kisukuma baada kupewa heshima ya kuwa Mtemi Masanja na Mkewe kuwa Ngole kwenye uwanja wa michezo wa Maswa wakiwa katika ziara ya mkoa wa Shinyanga Februari 20, 2012. Wanne kushoto ni Mtemi Majebele ambaye ndiye alimpa heshima hiyo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu wakicheza ngoma ya Watemi wa Kisukuma baada kupewa heshima ya kuwa Mtemi Masanja na Mkewe kuwa Ngole kwenye uwanja wa michezo wa Maswa wakiwa katika ziara ya mkoa wa Shinyanga Februari 20, 2012. Kushoto ni Mtemi Majebele ambaye ndiye alimpa heshima hiyo. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Mkewe Tunu (wapili kushoto) wakimshukuru Mtembi Majebele baada ya kupewa heshimi ya Kuwa Mtemi Masanja na mkewe kuwa Ngole katika mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa michezo wa Maswa Februari 20, 2012. Walikuwa kwenye ziara ya mkoa wa Shinyanga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akifungua tawi la Benki ya CRDB la Bariadi akiwa katika ziara ya mkoa wa Shinyanga Februari 21, 2012. (Piha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akikagua tawi la Benki ya CRDB nla Bariadi baada ya kulifungua Februari 21, 2012.. Alikuwa katika ziara ya mkoa wa Shinyanga. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akipokea hundi ya 5,000,000/= kutokwa Mkurugenzi wa Masoko wa Benki ya CRD, Tuli Mwambapa baada ya kufungua tawi la Benki hiyola Bariadi Februari 21m 2012. Alikuwa katika ziara ya mkoa wa Shinyanga. (Picha na Ofisi ya Waiziri Mku

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

WALIOKUWA WABUNGE WALIOPITIWA NA MKASI WA WAJUMBE

SPIKA MSTAAFU NDUGAI AFARIKI DUNIA

NENO KUNTU LA UMMY MWALIMU ALILOLITOA BAADA YA KUTEMWA KUGOMBEA UBUNGE

WAGOMBEA WALIOENGULIWA CCM LICHA YA KUONGOZA KURA ZA MAONI

MWENYE MASIKIO NA ASIKIE....

RAIS SAMIA AMUONDOLEA POLEPOLE HADHI YA UBALOZI