HAFIDHI APEWA WAKFU WA UASKOFU ZNZ

Askofu Michael Henry Hafidhi ( vazi jekundu) muda mfupi kabla ya kutawazwa kuwa Askofu wa Anglican zanzibar.Picha na Martin kabemba.
Askofu mteule Michael Henry Hafidhi (kulia) akila kiapo mbele ya askofu mkuu wa Anglican Tanzania dk.Valentino Mokiwa.Picha na Martin kabemba.

Maaskofu wa anglican kutoka Tanzania wakimwekea mikono askofu mteule Michael Henry hafidh jana.

Rais wa zanzibar Dk A.li mohamed shein akiwa mgeni rasmi akiwa na Rais mstaafu wa jamhuri ya muungano wa tanzania, Benjamin William mkapa wakifuatilia iibada ya kuwekwa wakfu Askofu Michael Henry Hafidhi kwenye kanisa la Anglican, mkunazini zanzibar
Rais wa Zanzibar Dk.Shein akihutubia kwenye kanisa la Anglican wakati wa ibada ya kuwekwa wakfu askofu wa Anglican Zanzibar, Michael Henry Hafidh .
Picha na Martin Kabemba.

Rais mstaafu wa jamhuri ya muungano wa tanzania, awamu ya tatu, Benjamin William mkapa akihutubia waumini  wa kikkristo  baada ya ibada ya kuwekwa wakfu Askofu wa Anglican dayosisi ya Zanzibar.
Picha na Martin Kabemba

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

DUNIA NI KATILI SANA KWA MWANAUME MASIKINI

MWANAUME USIPITWE NA HILI, INASIKITISHA...?!!!

USAJILI ULIVYO HADI SASA....

HUYU NDIYE MWANAMKE WA KUOA

RAIS SAMIA AYATAKA MASHINDANO YA MISS WORLD 2027

MAMBO 7 MUHIMU YA KUYAEPUKA BAADA YA KUACHANA...