REBECCA MALOPE, SOLOMON MUKUBWA, EPHRAEIM SKELETI WAWASILI LEO KWA AJILI YA TAMASHA LA PASAKA

Msanii wa muziki wa Injili, kutoka Afrika Kusini, Rebecca Malope (katikati) akiwa na wanamuziki Ephraem Sekeleti (kushoto) kutoka zambia na Solomoni Mukubwa (wa tatu kulia) wa Kenya, baada ya kuwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere, Dar es Salaam leo, tayari wote kushiriki Tamasha la Pasaka kesho kutwa kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Kulia ni msanii wa Tanzania Upendo Kilailo. (PICHA NA RICHARD MWAIKENDA)
Msanii wa muziki wa injili kutoka Zambia, Ephraeim Sekeleti, akiimba kwa hisia wimbo wake wa lugha ya kiswahili
Rebecca akiwasili Uwanja wa Ndege, huku akilakiwa na msanii mchanga wa nyimbo za injili, Gloria Kilailo (6)
Mwaandaji wa Tamasha la Pasaka, Alex Msama akielezea ujio wa wasnii hao
Malope akiwa amembeba mtoto wa Msama

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

RAIS TRUMP ARARUANA NA RAIS WA UKRAINE

MWABUKUSI ATOA NENO SIMBA KUSUSIA DERBY DHIDI YA YANGA

SERIKALI YALIKUBALI OMBI LA DIAMOND

HOSPITALI YA MUHIMBILI YAANZISHA HUDUMA YA KISASA YA KUZIBA MAPENGO

ARAJIGA AULA KOMBE LA DUNIA