VURUGU ZAZUKA UCHAGUZI MDOGO BUBUBU ZANZIBAR

 Kumekuwa na vurugu za hapa na pale, Polisi kupambana na vijana kwenye kituo cha kupigia kura wakati wa  uchaguzi mdogo kumchagua Mwakilishi wa jimbo la Bububu Zanzibar leo. (pichani) Polisi wa kuzuia ghasia wakisaidiwa na kikosi cha Valantia  kuwaondoa vijana   waliojikusanya karibu na kituo cha kupigia kura  kwenye  Shule ya Bububu.Picha zote na Martin Kabemba.







 Baadhi ya mawakala wa vyama wakifuatilia upigaji kura.
 Kijana akitumbukiza kura yake kwenye kisanduku cha kupigia kura jwenye kituo cha Shule ya Bububu Zanzibar
Kiongozi wa chama cha siasa (kushoto) akizungumza na wandishi wa habari nje ya kituo cha kupigia kura

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

KIGOGO WA CHADEMA AHAMIA CCM

DKT.NCHIMBI ATUA RASMI SONGEA KUSAKA KURA ZA CCM

DKT. SAMIA AWASILI ZANZIBAR

DKT. SAMIA AAHIDI KUJENGA CHUO CHA UHASIBU SONGEA