KUTOKA BUNGENI 

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Mbunge wa Kahama James Lembeli (kushoto) na Mbungewa Mafia, Abdulkarim Shah (katikati) kwenye Ofisi za Bunge Mjini Dodoma Agosti 28,2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akizungumza na Makamu wa Pili wa rais wa Zanzibar, Balozi Seif Iddi, Ofisini kwake Bungeni Mjini Dodoma Agosti 28, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na  Wabunge wa Upinzani  kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Agosti 28, 2013.  Kustoka kushoto ni Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila, Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari na Mbunge wa Ilemela, Highness Kiwia. (picha na Ofisi ya waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akiteta na Mbunge wa Ilemela, Highness Kiwia kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma. Augosti 28, 2013. (picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Mbunge wa Peramiho, Jenista Mhagama kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Agosti 28, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na  Wabunge wa Upinzani  kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Agosti 28, 2013.  Kustoka kushoto ni Mbunge wa Kigoma Kusini, David Kafulila, Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari na Mbunge wa Ilemela, Highness Kiwia. (picha na Ofisi ya waziri Mkuu)

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

DUNIA NI KATILI SANA KWA MWANAUME MASIKINI

MAKUNDI YA VILABU VINAVYOSHIRIKI KOMBE LA DUNIA 2025.

JINSI YA KUMTAWALA MWANAMKE HASA MKE (USIOE MKE WA MTU)

MUONEKANO WA UWANJA WA NDEGE WA KIMATAIFA MSALATO

DIARRA KIPA BORA TANZANIA

CHINYELE ACHUKUA FOMU KUOMBA RIDHAA YA KUGOMBEA UBUNGE DODOMA MJINI