Muonekano wa Kiwanja cha Ndege cha Kimataifa cha Msalato Jijini Dodoma tarehe 14 Juni, 2025. ujenzi wa Kiwanja hicho cha Msalato unahusisha njia ya kuruka na kutua ndege (runway) jengo la abiria, jengo la kuongozea ndege pamoja na Miundombinu mengine.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan amekagua maendeleo ya ujenzi wa uwanja huo huku akiambatana na Rais wa Benki ya Maendeleo Afrika (AfDB), Dkt. Akinwumi Adesina Juni 14, 2025.
Comments