MKUTANO WA WAWEKEZAJI WA KUBANGUA KOROSHO ULIODHAMINIWA NA NMB WAFANA


Baadhi ya wadau walioshiriki kongamana la wawekezaji wa zao la korosho wakimsikiliza Ofisa Uhusiano Kitengo cha Kilimo wa benki ya NMB, Nancy Asman (pili kushoto), walipotembelea banda la NMB.  


Meneja Mawasiliano wa NMB, Josephine Kulwa akizungumza na Mkurugenzi wa kampuni ya Bytrade Tanzania Bw. Harish Dhutia aliyehudhuria kongamanao la wawekezaji wa zao la korosho.


Baadhi ya wadau wa zao la Korosho wakiwa katika kongamano la wawekezaji wa zao la korosho  lililofunguliwa na Makamu wa Rais Mhe. Dkt. Mohamed Gharib Bilal jijini Dar es Salaam.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

NENO KUNTU LA UMMY MWALIMU ALILOLITOA BAADA YA KUTEMWA KUGOMBEA UBUNGE

WAGOMBEA WALIOENGULIWA CCM LICHA YA KUONGOZA KURA ZA MAONI

MBINU ZITAKAZOKUFANYA USIISHIWE PESA

DKT. MIGIRO AKIWASHA KAMPENI ZA DKT. SAMIA MAKAMBAKO

CHONGOLO AMKUMBUKA DKT. ASHA-ROSE MIGIRO-

LEO NI LEO KAMPENI ZA DKT. SAMIA SONGWE