PICHA NA TAARIFA KUTOKA MAKAO MAKUU YA JESHI LA MAGEREZA:KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA NCHINI NAMIBIA ATEMBELEA KIWANDA CHA VIATU GEREZA KARANGA MOSHI, MKOANI KILIMANJARO

Viatu aina ya Buti ambavyo hutumiwa na Maafisa na Askari wa Vyombo vya
Ulinzi na Usalama hapa Nchini vinavyotengenezwa na Kiwanda cha Viatu,
Gereza Kuu Karanga Moshi. Kiwanda hicho pia hutengeneza viatu vya ngozi
vya aina mbalimbali ambavyo hutumiwa pia hata na raia.

Kamishna wa Magereza Nchini Namibia, Raphael Tuhaferi(suti nyeusi)
akisalimiana na Maafisa Waandamizi wa Magereza Mkoani Kilimanjaro
alipotembelea Kiwanda cha Viatu, Gereza Kuu Karanga Moshi, Juni 21, 2014
Mkoani Kilimanjaro.
Comments