BUNGE LA AFRIKA MASHARIKI LAANZA VIKAO DAR

 Spika wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), Dk Zziwa, akiomba dua wakati wa ufunguzi wa kikao cha bunge hilo, kwenye Ukumbi wa Karimjee, Dar es Salaam jana. Kulia kwake ni Spika wa Bunge la Tanzania, Anne Makinda.
 Wabunge wa EALA wakiwa wamesimama wakati Spika wa Bunge hilo, Dk Zziwa, akiomba dua katika ufunguzi wa kikao cha bunge hilo, kwenye Ukumbi wa Karimjee, Dar es Salaam
 Baadhi ya wageni waalikwa wakisoma nyaraka muda mfupi kabla kuanza kwa kikao hicho cha bunge.
 Mbunge wa Bunge la Afrika Mashariki (EALA), Said Mtanda (Tanzania), kushoto, akifurahia jambo na mbunge mwenzie kutoka Burundi, Leons Ndaruganile wakati wa kikao cha bunge hilo.
Baadhi ya wabunge wa EALA  wakijadiliana mambo muda mfupi kabala ya kuanza kikao cha bunge hilo, kwenye ukumbi wa Karimjee, Dar es Salaam

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MWANAMKE ALIYEVUNJA REKODI KWA KUZAA WATOTO 69

BODI YA LIGI YAKIRI MAKOSA, WAIOMBA YANGA WAYAMALIZE

#MAKINIKIA: HEKAYA FUPI YA MJI WA KIHISTORIA WA MOSHI MKOANI KILIMANJARO

HUU NDIO UKWELI ULIVYO RAFIKI YANGU

BODI YA LIGI SASA WAOMBA HEKIMA NA BUSARA ITUMIKE DERBY YA YANGA, SIMBA