Heri Siku ya Kuzaliwa Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Ngoyai Lowassa




Leo Agosti 26 ni siku ya kuzaliwa ya Waziri Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Ngoyai Lowassa aliezaliwa tarehe kama ya leo miaka 61 iliyopita.Mh. Lowassa anayo furaha kubwa kuisherehekea siku hii muhimu kwake na kwa familia kwa ujumla.Globu ya Jamii na timu yake inamtakiwa Heri ya siku ya kuzaliwa kwake.
Mh. Lowassa akiwa shambani kwake wakati alipotembelea kuangalia maendeleo ya mifugo.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MUSTAFA MKULO AFARIKI DUNIA

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

DKT NCHIMBI AWAAHIDI MAKUBWA WANANCHI WA KWELA, RUKWA

MAKALLA ASHANGILIWA BUNGENI

DK NCHIMBI ATINGA MKOANI KATAVI

BASHASHA LATAWALA NCHIMBI ALIPOLAKIWA NA CHONGOLO SONGWE

NCHIMBI AFUNGUA KONGAMANO LA MAADHIMISHO YA KUMBUKIZI YA MWALIMU NYERERE

DKT NCHIMBI AKARIBISHWA KIMILA NYUMBANI RUVUMA