CCM IMEAMUA KUTOA ELIMU KUHUSU MASUALA YALIYOPO MAHAKAMANI - MAKALLA





Katiu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi Taifa, Itikadi, Uenezi na Mafunzo Ndugu Amos Makalla amesema kuwa viongozi wengi wa chama wamekuwa wakipokea ujumbe kutoka kwa watu mbalimbali kupitia simu na hata malalamiko kupitia mikutano mbalimbali ya hadhara  kuhusiana na kesi ambazo tayari zilishatolewa maamuzi na mahakama.


Kutokana na hayo, Makalla ameeleza kuwa CCM inaamini katika utawala bora wa kuzingatia vyombo vya sheria na kuwa haki ya kutoa haki inapatikana kupitia Mahakama na hakuna mwenye mamlaka ya kuingilia mahakama.

Makalla ameyasema hayo leo akiwa kwenye kipindi cha #Goodmorning kinachoruka kupitia redio ya wasafi, alipotembelea katika studio za Wasafi Media ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya kutembelea vyombo mbalimbali vya habari hapa Nchini.


πŸ—“️8 Mei, 2024

πŸ“Dar es salaam


#CCMImara

#TunaendeleaNaMama

#KaziIendelee

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MUSTAFA MKULO AFARIKI DUNIA

MAKABILA 10 YENYE WANAWAKE WAREMBO TANZANIA

YANGA BADO POINTI 2 TU ITANGAZE UBINGWA

MAKALLA ASHANGILIWA BUNGENI

DKT NCHIMBI AZURU KABURI LA JOHN KOMBA LITUHI, NYASA

CHATANDA ANENA MAKUBWA MAADHIMISHO SIKU YA FAMILIA DUNIANI

PROF NDAKIDEMI: TULETEENI MIRADI, TUWALIPE NYAMA NA SAMAKI