DK. NCHIMBI AKONGA NYOYO ZA WANANCHI KAGONGWA KAHAMA

 Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi Balozi Dkt Emmanuel Nchimbi leo 11 Octoba 2024 pamoja na Msafara wake amesimama Kata ya Kagongwa Wilayani Kahama na kusalimia Wananchi waliojitokeza akiwa njiani kuelekea Shinyanga Mjini ambako anatarajiwa kufanya Mkutano wa hadhara na Wananchi wa Shinyanga katika Viwanja vya Town School Mjini Shinyanga.

Katibu wa NEC Itikadi, Uenezi na Mafunzo, akisema maneno ya utangulizi kabla ya kumkaribisha Dkt. Nchimbi kuzungumzia na Wananchi.
Dkt. Nchimbi akizingumza na Wananchi.
Wananchi wakimshangilia Dkt. Nchimbi.


 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

𝗠𝗕𝗢𝗪𝗘 𝗔𝗦𝗜𝗧𝗜𝗦𝗛𝗔 𝗠𝗔𝗔𝗡𝗗𝗔𝗠𝗔𝗡𝗢 𝗬𝗔 𝗖𝗛𝗔𝗗𝗘𝗠𝗔 𝗬𝗔 𝗧𝗔𝗥𝗘𝗛𝗘 𝟮𝟯.

KIKOSI CHA CBE KIMEWASILI ZENJI KUVAANA NA YANGA

YANGA YAWASILI SALAMA ETHIOPIA

MAYELE AIMWAGIA SIFA LUKUKI YANGA