YANGA YAWASILI SALAMA ETHIOPIA

Yanga wakiwasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Bole, Addis Ababa tayari kwa mtanange wao na timu ya CBE ya Ethiopia wa Klabu Bingwa Afrika Jumamosi Septemba 14, 2024. Wachezaji wao waliokuwa timu za Taifa wataunga nao huko huko Ethiopia.







 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

CPA MAKALLA 'KUUTEKA' MKOA WA ARUSHA

ASKOFU CHANDE AISHUKURU SERIKALI KULIPATIA USAJILI WA KUDUMU KANISA LA KARMELI

DEMU KAMA ANAFANYA KAZI HIZI KUWA MAKINI NAE.

"WANAUME WAPO GEREZANI, KABURINI"

JENGENI UWANJA WA MICHEZO WA KISASA NJOMBE-MWANYIKA

KAMATI YA UWT KUTOA MSAADA WA KISHERIA NCHINI