JENGENI UWANJA WA MICHEZO WA KISASA NJOMBE-MWANYIKA


 Mbunge wa Njombe Mjini, Deodatus Mwanyika ameihoji Serikali bungeni Dodoma Agosti 28, 2024, kwamba ni lini itajenga Uwanja wa Michezo wa Kisasa mkoani Njombe?

Aidha ameiomba serikali kupeleka mkoani Njombe Utalii wa Michezo mbalimbali ukiwemo wa gofu.

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MSIMAMIZI MKUU
 KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV 
0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

DEMU KAMA ANAFANYA KAZI HIZI KUWA MAKINI NAE.

CPA MAKALLA 'KUUTEKA' MKOA WA ARUSHA

ASKOFU CHANDE AISHUKURU SERIKALI KULIPATIA USAJILI WA KUDUMU KANISA LA KARMELI

"WANAUME WAPO GEREZANI, KABURINI"

YANGA YAWASILI SALAMA ETHIOPIA