"WANAUME WAPO GEREZANI, KABURINI"


 “Wanawake wamejaa sana katika mikusanyiko ya uma, masokoni, kwenye sherehe, wako wapi wanaume? Wapo gerezani na kaburini”


“Wanaume wamebeba mengi moyoni, wameumbwa kutatua matatizo yao wenyewe, tatizo likimshinda linamlipukia ndani kwa ndani hakuna atakayejua. Shkamoo wanaume” - @miriamodemba

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

DEMU KAMA ANAFANYA KAZI HIZI KUWA MAKINI NAE.

CPA MAKALLA 'KUUTEKA' MKOA WA ARUSHA

ASKOFU CHANDE AISHUKURU SERIKALI KULIPATIA USAJILI WA KUDUMU KANISA LA KARMELI

JENGENI UWANJA WA MICHEZO WA KISASA NJOMBE-MWANYIKA

YANGA YAWASILI SALAMA ETHIOPIA