KAMATI YA UWT KUTOA MSAADA WA KISHERIA NCHINI

Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Haki na Sheria ya Umoja wa Wanawake wa CCM Tanzania (UWT), Zainab Katimba amesema kuwa UWT ina mpango wa kuanzisha Kanzi Data ya Mawakili Wanawake watakaokuwa wanatoa msaada wa kisheria nchini.


Akielezea mikakati ya kamati hiyo, Katimba amesema wataweka utaratibu wa mawakili hao pamoja na washirika wao wa kutoa huduma ya msaada wa kisheria kila wiki ya mwisho ya mwezi katika mikoa mbalimbali nchini kwa lengo la kuwafikia walengwa zaidi.

IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA 
MSIMAMIZI MKUU 
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV 
0754264203

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

CPA MAKALLA 'KUUTEKA' MKOA WA ARUSHA

ASKOFU CHANDE AISHUKURU SERIKALI KULIPATIA USAJILI WA KUDUMU KANISA LA KARMELI

DEMU KAMA ANAFANYA KAZI HIZI KUWA MAKINI NAE.

"WANAUME WAPO GEREZANI, KABURINI"

JENGENI UWANJA WA MICHEZO WA KISASA NJOMBE-MWANYIKA