NIBORA KUOA MWANAMKE ALIE ZALIA KWAO.

   Hili wengi mtalipinga ila nataka kuwapa ufafanuzi kidogo kabla ya kuendelea.


Kati ya wanaume na wanawake na wanaume wanawake ndio wengi kila siku lazima mabint zaidi ya 50% wabebeshwe mimba wakati huo kila siku wanaume hukataa mimba zao. ASILIAMIA 95%wanaume huzikataa mimba kila kukicha ndio maana unaona hao wanawake wapo hivyo sio kwakupenda kwao

     WENGI wao wanao zikataa mimba ndio hao wasio taka kuoa wanawake waliokwisha zalia nyumbani.

     FAIDA ZA KUOA MWANAMKE ALIEZALIA KWAO.


KWANZA ni mzoefu wa maisha .

Anajua kupambana na uhalisia wa maisha na anamalengo katika maisha kila siku.

PILI moyo wake unasubiria mapenzi yenye uaminifu : Hivyo ukiwa muaminifu kwake hawezi kuwa watofauti kwako zaidi atakupenda sana.

TATU anajua kunza familia na nimzoefu wa changamoto zakimaisha.


NNE kuna uhakika wa kupata watoto ndani ya familia yako.

   tifauti na pale unapoenda kuchagua mke kwa kuangalia sura kumbe kamaliza kizazi chake kwakutoa mimba.


USIOGOPE KUFANYA maamuzi ya maisha yako kwakuangalia maisha ya watu wengine.


Angalia malengo yako na MAPENZI yako Moyoni.


JENGA KILICHO IMARA.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAMBO YANAYOUA NDOA NA MAHUSIANO

KANUNI 10 ZA MAHUSIANO YENYE FURAHA

RAIS SAMIA ANA KWA ANA NA ZUHURA YUNUS

HAKI 13 ZA MWANAMKE LAZIMA MWANAUME AZIHESHIMU:

JINSI YA KUMSAHAU EX WAKO ALIEKUACHA;

MAMBO SABA AMBAYO WANAUME WENGI HAWAYAPENDI:

RAIS DKT.MWINYI: ZANZIBAR KUWA KITUO CHA BIASHARA CHA KIMATAIFA

ACHENI KUWA CHANZO CHA CHOKOCHOKO NA VURUGU - ASKOFU CHANDE

JINSI BINTI HUYU MWANAFUNZI ANAVYOIPENDA MITI

KOCHA WA SINGIDA BLACK APANGA KUIVURUGA YANGA