MCHEPUKO ANANITESA KULIKO MUME WANGU


 Kaka mimi nimeolewa ndoa yangu haina shida mume wangu ananijali na anahudumia kwa kila kitu. Shida ni huu mchepuko wangu, yaani ananisumbua mpaka nahisi kuchanganyikiwa.😭💔


Kwanza ni Mal*ya, nimeongea mpaka nimechoka, kila siku mimi ni kugombana na wanawake zake, nawapigia simu tunatukanana natishia kumaucha ila akija kuniomba msamaha najikuta nimemsamahe. Kingine ni mtu wa kununa Kaka.


Unakuta kosa lake lakini atakununia kama wiki, yaani mpaka umtafute kumuomba msamaha, mwisho najikuta nakua na hasira na hasira zote nahamishia kwa mume wangu. Nimejaribu kusoma Kitabu chako ili abdilike lakini habadiliki!


Nisaidie Kaka nifanye nini? Simu yake ina mapicha ya uchi kibao, mengine anawachukua wanawake wanajua kabisa nyingine wanamtumia, kuna mpaka wake za watu Kaka, natamani hata kuzituma kwa waume zao ili waachane na mwanaume wangu ila akijua ataniacha.


Kaka ukipost ficha jina langu kwani wifi zangu wako hapa sitaki kuharibu ndoa yangu!


NB/Jiunge na group langu la whatsapp bure kwa ajili ya mikasa, simulizi na visa mbalimbali 

👇👇

https://whatsapp.com/channel/0029Vaeqip1Lo4hfpPYsKW47

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAMBO YANAYOUA NDOA NA MAHUSIANO

KANUNI 10 ZA MAHUSIANO YENYE FURAHA

RAIS SAMIA ANA KWA ANA NA ZUHURA YUNUS

HAKI 13 ZA MWANAMKE LAZIMA MWANAUME AZIHESHIMU:

JINSI YA KUMSAHAU EX WAKO ALIEKUACHA;

MAMBO SABA AMBAYO WANAUME WENGI HAWAYAPENDI:

RAIS DKT.MWINYI: ZANZIBAR KUWA KITUO CHA BIASHARA CHA KIMATAIFA

ACHENI KUWA CHANZO CHA CHOKOCHOKO NA VURUGU - ASKOFU CHANDE

JINSI BINTI HUYU MWANAFUNZI ANAVYOIPENDA MITI