MWANAUME ANAWEZA KUMPENDA MWANAMKE NA ASIMUOE.


 

Mwanaume anaweza kuwa anafanya mapenzi na Mwanamke tena wakadumu kwa muda mrefu lakini asimuoe. Lakini akampata Mwanamke mwingine akamuoa hata kama mahusiano yake na huyo Mwanamke yalikuwa ya mwezi mmoja.


Wanaume wengi hutizama mbali zaidi pale linapokuja suala la KUOA. Huwa hawafikirii habari za suti kali za harusi na sherehe ya gharama, tofauti vitu ambavyo hufikiriwa zaidi na wanawake kila wanapoiwaza ndoa.


Wanaume huwaza, iwapo mwanamke huyu anaweza kuijenga familia bora, anawaza kuwahudumia watoto, Hatanipa stress huko mbeleni, hatanisumbua katika masuala ya tendo la ndoa?


Wanaume wanaotaka kuoa huwa hawapendi wanawake wanaowapa mawazo, ndio maana wengine hukaa muda mrefu kwenye mahusiano lakini unajifikiria bila sababu ya msingi anakuja kuoa mtu amekaa nae kwa mwezi mmoja.


Baadhi ya aina ya wanawake ambao ni ngumu sana kuolewa na Wanaume wanaojitambua, 

- Wanawake wanaovuta shisha


- Wanawake wanaovaa vikuku miguuni


- Wanawake wenye heleni puani hadi kitovuni 


- Wanawake wanaoweka nywele blichi 


- Wanawake omba omba /Kausha Damu 


- Wanawake wanaopekua simu, suruari na wallet Wakati Mwanaume yupo bafuni 


- Wanawake wanaofanya sex workers /FSW kwenye madanguro


- Wanawake wenye Tattoo


- Wanawake walevi kupita kiasi 


- Wanawake wanaopenda kwenda clubs


Baadhi ya Wanawake wazuri wanapenda maisha ya hali ya juu sana na luxury ndio maana wanabadilisha sana wanaume ili ku maintain lifestyle yao.


Kumbuka Uzuri Wa Mwanamke Haupo kwenye Sura,Tako Wala mapaja , Bali Uzuri Wa Mwanamke Ni Ubongo wake Wenye akili ya Maisha


Kwenye Mahusiano kuna kuvumilia na kupoteza mda. Kuna mda unaweza ukadhani ngoja nimvumilie atabadilika kumbe unapoteza mda.

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

KANUNI 10 ZA MAHUSIANO YENYE FURAHA

HAKI 13 ZA MWANAMKE LAZIMA MWANAUME AZIHESHIMU:

JINSI YA KUMSAHAU EX WAKO ALIEKUACHA;

MAMBO YANAYOUA NDOA NA MAHUSIANO

MAMBO SABA AMBAYO WANAUME WENGI HAWAYAPENDI:

RAIS DKT.MWINYI: ZANZIBAR KUWA KITUO CHA BIASHARA CHA KIMATAIFA

ACHENI KUWA CHANZO CHA CHOKOCHOKO NA VURUGU - ASKOFU CHANDE

JINSI BINTI HUYU MWANAFUNZI ANAVYOIPENDA MITI

RAIS SAMIA ANA KWA ANA NA ZUHURA YUNUS