RAIS SAMIA AONGOZA KUTOA HESHIMA ZA MWISHO KWA MWILI WA MAREHEMU DKT. NDUGULILE


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akitoa heshima za mwisho kwenye jeneza lenye mwili aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Marehemu Faustine Engelbert Ndugulile katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam tarehe 02 Desemba, 2024.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akisaini kitabu cha maombolezo kabla ya kuongoza waombolezaji kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Marehemu Faustine Engelbert Ndugulile katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam tarehe 02 Desemba, 2024.


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akizungumza na waombolezaji kabla ya kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Marehemu Faustine Engelbert Ndugulile katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam tarehe 02 Desemba, 2024


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwafariji Wanafamilia wa aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Marehemu Faustine Engelbert Ndugulile katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam tarehe 02 Desemba, 2024.


Matukio mbalimbali wakati wa kuaga mwili wa   aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Marehemu Faustine Engelbert Ndugulile katika Viwanja vya Karimjee Jijini Dar es Salaam tarehe 02 Desemba, 2024.

 

Comments

HABARI ZILIZOSOMWA ZAIDI

MAMBO SABA AMBAYO WANAUME WENGI HAWAYAPENDI:

NI HESHIMA KUBWA SANA KUIFUNDISHA YANGA - KOCHA MPYA WA YANGA

UOKOAJI KARIAKOO NI USHUHUDA WA MOYO WA UTANZANIA: NCHIMBI

”RAIS SAMIA AUMIZWA MAUAJI YA KIBIKI”

KOCHA SEAD RAMOVIC AMRITHI GAMONDI YANGA.

𝗥𝗔𝗧𝗜𝗕𝗔 𝗬𝗔 𝗬𝗔𝗡𝗚𝗔 𝗬𝗔 𝗞𝗨𝗙𝗨𝗡𝗚𝗔 𝗠𝗪𝗔𝗞𝗔 2024 🔰

TAMISEMI PUUZENI DOSARI NDOGONDOGO ZA WAGOMBEA UCHAGUZI SERIKALI ZA MITAA - DK. NCHIMBI

RAIS SAMIA ATOA SALAMU ZA POLE KWA KIFO CHA DKT. NDUGULILE