Yanga Africa baada ya Ushindi wa Mabao 2-0 dhidi ya Namungo,Mchezo uliopo mbele yao ni wa Ligi ya Mabingwa Africa dhidi ya Waarabu kutoka Algeria 🇩🇿 MC ALGER...
Mchezo huo unatarajiwa kufanyika DISEMBA 7 katika Uwanja wa Al Lapointe....
Taarifa njema katika mchezo huo MC ALGER hawataruhusiwa kuingiza mashabiki hivyo watacheza bila mashabiki wao kutokana na kupewa adhabu na CAF..
WANANCHI wanatakiwa kupata matokeo ya ugenini baada ya kupoteza mchezo wa Kwanza nyumbani Vs Al Hilal kwa Mkapa..
Comments