Mbunge wa Tarime Vijijini, Mwita Waitara akielezea amefichua mambo yasiyofaa ya baadhi ya viongozi wa vyama vya siasa na hasa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), akidai wengi wao ni wanaharakati, matapeli wa kisiasa. Pamoja na mambo mengine, Waitara ameyasema hayo alipokuwa akichangia mjadala wa makadirio ya Bajeti ya Ofisi ya Waziri Mkuu kwa mwaka 2025/2026, bungeni Dodoma Aprili 11, 2025. IMEANDALIWA NA RICHARD MWAIKENDA
MSIMAMIZI MKUU
KAMANDA WA MATUKIO ONLINE TV
0754264203
Comments